Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa ni dhamana tu, umeaniniwa na ipo siku aliyekuamini na kukupa dhamana hiyo atamuamini Mtanzania mwingine.

Maneno na matendo unayofanya yanaishi milele.

#Mungu ibariki Tanzania
#Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Watarudi kivingine hao RCs walioachwa.
CCM ni ile ile.
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom