Ushauri kwa waajiriwa wa Serikalini

Ushauri kwa waajiriwa wa Serikalini

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
410
Reaction score
987
Nawashauri wadogo zangu wanaotafuta ajira na waliotayari wameshapata ajira za serikali kua MKOPO NI MMOJA TU kwenye maisha yako ya utumishi na ni ule mkopo wa kwanza kuchukua kwenye taasisi yoteyoe ya fedha.

Mikopo mingine utakayokua unachukua ni ile wanaaiita TOP UP ambayo ni kiasi kidogo sana ambacho ni ngumu sana kukuvusha kwenye changamoto zako.

Hivyo nawaomba mnapoenda kukopa muwe na vya kufanyia na sio kujenga nyumba na kununua magari mwisho wa siku mnaishi kwa shida uku mtaani,
ni hayo tu.

Naliwe wa lumumba.
 
We bwana wee hakuna stress mbaya kama ya kodi kama mtu akikopa akajenge kibanda chake safi safi
 
Back
Top Bottom