USHAURI: kwa WAAJIRIWA WENZANGU....NI VIZURI UKAFUATWA.

USHAURI: kwa WAAJIRIWA WENZANGU....NI VIZURI UKAFUATWA.

agala

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
57
Reaction score
12
Life knowledge bure:

Nchi yetu inatufundisha tuajiriwe na siyo kujiajiri kutokana na mfumo wetu ulivyo kaa sasa tujaribu kupitia katika taratibu hii

maliza elimu yako ajiriwa kisha jiajiri baada ya kupata mtaji halafu ajiri ili tupunguze tatizo la ajiri kwa wahitimu wetu lakini unaposema jiajiri hapo ndo pagumu ataanza kuogopa lakini rural areas kuna opportunity za kutosha kama mbingu mkungu 1500/= ndizi mshale na wakati huku ndizi moja 200/= na usafirishaji ni treni bei poa tayari ni biashara hiyo tena inafaida mara mbili ndo kujiajiri huko ila inahitaji nia tuu sio kama biashara hazipo.

Kwahiyo nawashauri kwa hilo

kupata ushauri wa biashara nyingine nione kupitia g.francis@jigambe.com au www.jigambeads.com
 
Kwa unashauri wasomi wote waingie kwenye biashara ya uchuuzi.
 
Back
Top Bottom