Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hamna kitu kama hicho bana. Yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni nijilambe lambe mdomo tu eti kisa usikauke wakati lipstick zipo. Mmh.

Hapana aisee.
Ina maana midomo yenu iko weak mbona sisi hatupaki chochote na tuko vizuri tu?
 
Hahahaa. Mwisho wa siku wote tutakufa hakuna atakayebaki.
Mimi mwanamke aliyepaka lipstick haingii ndani mwangu asije acha mamecury kwenye vyombo
 
Ina maana midomo yenu iko weak mbona sisi hatupaki chochote na tuko vizuri tu?
Ndo ujue tofauti ya sisi na dada zetu mkuu.
MwenyeziMungu katuumba tofauti sana.
Wanatakiwa wajikwatue pasipo kuvuka mipaka yake ili na wewe uridhike.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
Sawa ila kuna vitu ni more dangerous kuliko wanavyofikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…