Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Mmh! Mie bado kushawishika kuacha kwa kweli sababu mizunguko yangu yote lazima lipstick ihusike.

Mie nadhani mtushauri tusipake mara kwa mara na sio kuacha kabisa sababu mkisema tuache tofauti ya mdomo wa mwanaume na mwanamke itakuwa wapi.
Looh! pole dada, kwa hiyo unaona bora uendelee kupaka hiyo sumu ili utofautiane na wanaume halafu mwisho wa siku upate matatizo sio!.
 
Wanaume ndio tupo kwenye risk zaidi, mwali anakuja na milipstick yake mdomon,unalala nae usiku kucha ni mwendo wa denda tu asubuh hana lipstick hata kidunchu..
Siku nyingine mwambie asafishe mdomo wake kwa maji safi na sabuni
 
Mm mwanamke aliyepaka lipstick haingii ndan mwangu asije acha mamecury kwenye vyombo
Haya ni maneno ya kuandika tu hapa jf na kuihalisia hakuna mwanamke utakayemkuta na mdomo mkavu.
 
Ndo ujue tofauti ya sisi na dada zetu mkuu.
MwenyeziMungu katuumba tofauti sana.
Wanatakiwa wajikwatue pasipo kuvuka mipaka yake ili na wewe uridhike.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
Ewaaaaa. Mbaya kama tutavuka mipaka kama ulivyosema.
 
Mmh! Mie bado kushawishika kuacha kwa kweli sababu mizunguko yangu yote lazima lipstick ihusike.

Mie nadhani mtushauri tusipake mara kwa mara na sio kuacha kabisa sababu mkisema tuache tofauti ya mdomo wa mwanaume na mwanamke itakuwa wapi.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuna uzi humu tena wa siku nyingi sana unazungumzia asili ya lipsticks.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…