Najua bado. Teh teh tehHahahaa. Sawa.
Na ndiyo dini zinataka mung'arishe nyumba zetu.Siku zote mwanamke kupendeza muhimu bwana.
Weka neno mkuu Mwifwa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeleta link hapo juu
Sisapoti lipsticksWeka neno mkuu Mwifwa.
Ajali kazini.Cancer ya kizazi itakupigia sio muda mrefu
Hata hilo ni neno...hata kama nadharia ya waleta uzi ule wa mwanzo na huu hazijazungumzia upande wa pili ambao wake zetu,dada zetu wanautumia.Kwa nini? Kwa kuwa kila jamii ina utamaduni wake.Kwa watu wa Pwani wayaaminiyo yanaweza kuwa tofauti na watu wa Umasaini n.k.Sisapoti lipsticks
Hajar! ukijua njia kuna wanyama wa kali utakwenda tu eti kwa kuwa hao tumewazoea kila sehemu wapo?Mmh. Matatizo kila sehemu yapo Mkuu
Mkuu wanawake waache tu.. Wana mioyo ya Chuma.. Mi nakwambia ukitaka wanawake wafanye kitu cha hovyo waambie ndio fasheni Mpya ya kijanja na wanaonekana wazuri..Hajar! ukijua njia kuna wanyama wa kali utakwenda tu eti kwa kuwa hao tumewazoea kila sehemu wapo?
Ni kweli mkuu.Hata hilo ni neno...hata kama nadharia ya waleta uzi ule wa mwanzo na huu hazijazungumzia upande wa pili ambao wake zetu,dada zetu wanautumia.Kwa nini? Kwa kuwa kila jamii ina utamaduni wake.Kwa watu wa Pwani wayaaminiyo yanaweza kuwa tofauti na watu wa Umasaini n.k.
Hahaha kumbe utaoa mpole umuonee eeee akija kushtuka utajua pa kumkamatiaKwani unadhani na mie naoa mwanamke mtata!!? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naaam.Ni kweli mkuu.
Pia tuipe nafasi nguvu/hoja ya kiimani kwa kila mmoja wetu
Hiyo style ya kuchoma nywele umenikumbusha hapo zamani kidogo walikuwa na style ya nywele ilikuwa inaitwa curlkit, basi unamkuta jimama au jidada kajimwagia hiyo mifuta dah, sasa harufu yake ndo kiboko lakini wenyewe aaaah burdaaan kabisa.Mkuu wanawake waache tu.. Wana mioyo ya Chuma.. Mi nakwambia ukitaka wanawake wafanye kitu cha hovyo waambie ndio fasheni Mpya ya kijanja na wanaonekana wazuri..
Mama zangu wadogo walikuwa wanachoma nywele na chanuo la chuma (Chomeo) zinanuka kama wahindi wanazika.. Wamo tu kisa fashoooni.. Utawaambia nn..
Mtu unamkuta amesuka nywele sura imevutwa kama inatengenezwa ngoma ya bendi ya shule ya msingi uyogo.. Hawezi kucheka wala kulia.. Anatembea na Diclopa kupozea.. ukimuuliza ...fasheni.. Kajaza makatani kichwani anawashwa anaishia kukipiga kichwa ..ukihoji fasheni...
Anatembea na Viatu yuko juu juu kama Fundi Umeme wa Tanesco.. Matokeo yake anatembelea vidole.. Akifika nyumbani anahitaji kuikanda miguu ashushie na panado.. Maana anatembelea vidole ITV mpaka Mlimani city..
Hawa ni wakuvulia kofia ..
Uvumilie tu kwakweliHuhuhuhu