Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Ushauri kwa wadada wote wanaotumia rangi ya mdomo, zina madhara

Hatupingi.. Ila tumewaona Mama zetu wanawaka waka na wala hakuna Lipstick.. Saana wanja.. Ambao ni ranging nyeusi na mafuta sio?!

Hakuna kitu kizuri kama kuonekana mrembo ukiwa karibia na uasilia wako. Hii ppda mpaka unakuwa kama ubao wa shule.. Na nywele za katani kama umebeba mzigo..

Hizi rangi zikiwa zinaelekea na uasilia mnapendeza zaidi.. Na huenda zinakuwaga ghali pia.. Maana unawaona wanaojielewa sana tu ndio wanazitumia..

Sasa kweli ukawe na mdomo wa zambarau, mwekundu, Wa blue, wa rangi ya kitu.. Mara kijani..njano binaadamu wa namna gani Huyo mama!?

Hahaha, muweke mafuta tu mbona mnapendeza sana... Hizi rangi nyingine zinaonekana way unnatural.. Wao huko ulaya wengine wana midomo myekundu..sasa tusiige.. Mungu Fundi huwezi kumkuta MTU anakucha nyeusi na macho mekundu na akawa na afya njema.. Kila kitu kina hue and shades na mungu amezingatia..

Pigeni chini hayo madubuwasha.. Weka mafuta ukiongeza weka nywele za Uzi swaaaafi kbsa.. Hayo madude ya midoli waachieni hao wazungu..

😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hamna kitu kama hicho bana. Yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni nijilambe lambe mdomo tu eti kisa usikauke wakati lipstick zipo. Mmh.

Hapana aisee.
Ina maana midomo yenu iko weak mbona sisi hatupaki chochote na tuko vizuri tu?
 
Ina maana midomo yenu iko weak mbona sisi hatupaki chochote na tuko vizuri tu?
Ndo ujue tofauti ya sisi na dada zetu mkuu.
MwenyeziMungu katuumba tofauti sana.
Wanatakiwa wajikwatue pasipo kuvuka mipaka yake ili na wewe uridhike.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
Sawa ila kuna vitu ni more dangerous kuliko wanavyofikiri.
 
Back
Top Bottom