Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Mate ni kwa staili ya kawaida tu siyo ya kuendea safari.Eti kasema tupake mate mmh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mate ni kwa staili ya kawaida tu siyo ya kuendea safari.Eti kasema tupake mate mmh.
Looh! pole dada, kwa hiyo unaona bora uendelee kupaka hiyo sumu ili utofautiane na wanaume halafu mwisho wa siku upate matatizo sio!.Mmh! Mie bado kushawishika kuacha kwa kweli sababu mizunguko yangu yote lazima lipstick ihusike.
Mie nadhani mtushauri tusipake mara kwa mara na sio kuacha kabisa sababu mkisema tuache tofauti ya mdomo wa mwanaume na mwanamke itakuwa wapi.
HuhuhuhuNitaweza kweli!!
Haya ni maneno ya kuandika tu hapa jf na kuihalisia hakuna mwanamke utakayemkuta na mdomo mkavu.Mm mwanamke aliyepaka lipstick haingii ndan mwangu asije acha mamecury kwenye vyombo
Ewaaaaa. Mbaya kama tutavuka mipaka kama ulivyosema.Ndo ujue tofauti ya sisi na dada zetu mkuu.
MwenyeziMungu katuumba tofauti sana.
Wanatakiwa wajikwatue pasipo kuvuka mipaka yake ili na wewe uridhike.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
Hahahaaa. Itabidi nijaribu ila mmh.Nimekwambia paka korie ndugu yangu.
Hahahaa. Sawa.Komaa nae, akikupa mbadala sahihi utanitag.
AhahahaaaaaaWengi wanaopaka ni waliosoma art
Siku zote mwanamke kupendeza muhimu bwana.Tatizio nyinyi mnataka et mpendeze muwe attractive!
Mmh. Matatizo kila sehemu yapo MkuuLooh! pole dada, kwa hiyo unaona bora uendelee kupaka hiyo sumu ili utofautiane na wanaume halafu mwisho wa siku upate matatizo sio!.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mmh! Mie bado kushawishika kuacha kwa kweli sababu mizunguko yangu yote lazima lipstick ihusike.
Mie nadhani mtushauri tusipake mara kwa mara na sio kuacha kabisa sababu mkisema tuache tofauti ya mdomo wa mwanaume na mwanamke itakuwa wapi.
Haaa. Kufa kupo tu.OK mkuu naona unatetea sumu nzuri inayoua taratibu
Nimeleta link hapo juuSenior member