Ushauri kwa wadau na wasimamizi wa procurement & logistics

Ushauri kwa wadau na wasimamizi wa procurement & logistics

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Nimefanya utafiti nikagundua njia moja nzuri sana ya kupatia "value for money".

Hatua zifuatazo zifuatwe:
1. Ichaguliwe taasisisi inayoaminika, mfano TAKUKURU
2. Izungukie taasisi zote na kupatia mahitaji Yao yote yanayohusika na manunuzi kwa mwaka mzima.
2. Itangaze Zabuni, na kufanya evaluation na kuteuwa washindi
3. Iwagrupu washindi 20 Kila item inayohusika
4. Baada ya hapo, taasisi zote ziwe zinapeleka mahitaji Yao kule, yaani kwa mfano TAKUKURU.
4. Hiyo taasisi iliyoteuliwa ndivyo inaamua impe nani Zabuni hiyo kutokea kwenye listi yake, na kimpelekea mwombaji 'signed order form" ikionyesha unit price kwa Kila item/BoQ iliyoombwa.

Kwa mtimdo huu hataibiwa mtu!!
 
tatizo lako ni nini.......mama keshasema kila taasisi ijichagulie yenyewe.....rushwa rushwa TANZANIA ni TATIZO SUGU.....
 
Hapo namba 4 na 5 ndio majukumu ya GPSA
Vizuri. Sasa wazo zuri ni kwamba GPSA inakuwa chini ya TAKUKURU(but with qualified personnel), na ndio maana nasema "Purchase Order" inatoka hapo with already approved bidder basing on unit prices. Taasisi nyingine zinakuwa na only receiving entities.
Wizi utakoma
 
Back
Top Bottom