Ushauri kwa wadogo zangu form v 2014/15

Ushauri kwa wadogo zangu form v 2014/15

Mubhende

Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
40
Reaction score
6
Hongereni wadogo zangu kwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano maana huo ndio mwanzo wa mafanikio. Ushauri wangu kwenu, daraja mnaloingia sasa ndipo unapoweza kutengeneza au kuharibu maisha; ninamaana ukifeli umefuta historia yako yote ya awali.

Hivyo mnapaswa kujitahidi kwa kila hali angalau ufaulu kwa kiwango cha div iii hapo chuo kikuu utaingia.

Ikiwa wewe kwa bahati mbaya hujafanya vizuri na hivyo hukufanikiwa kuchaguliwa, usikate tamaa maana unaweza kutafuta chuo ukafanya certificate na baadaye utafanya diploma na hatimaye utajiunga na chuo kikuu.

Kama umesoma masomo ya sayansi nakushauri ujiunge na kozi za clinical officer, hizo ni kozi ambazo ukimaliza tu unapangiwa kazi mara moja.

Mtakapokuwa shuleni, msitengane bali msaidiane katika masomo kwa sababu huwezi jua huyo unayemsaidia atakuwa msaada kwako baadaye katika maisha. Pia nafasi za chuo kikuu hawaangalii nani ni wa ngapi, bali ni nani amefaulu.

Hivyo ni vizuri mkasaidiana ili mfaulu wote. Nasema hivi kwa sababu wanafunzi wengi wa Advanced level huwa ni wachoyo kwenye upande wa Materials.

Congratulations
 
Umetoa ushauri mzuri Sana,hasa kwa hawa wanaoenda kuingia kidato cha tano,wasijione wamemaliza kazi
 
Ndg.umeshauri vizuri.Make hawa madogo wakipewa ushauri hawaeli soma.Maisha makumu sana hasa unapokuwa umehtmu kozi.Nimeupenda ushaur wa kuwa na marafiki.Mie nkwa Chuo kik wamensaidia sana,had leo baada ya koz mafend tunatoana.Chamsing ni kujua aina za marafiki.
 
Back
Top Bottom