Naomba niwape ushauri wale wote wafanyabiashara hasa ambao wana biashara mpya kuhusu maswala ya kodi.
Watu wengi wameshangaa kuona Diamond wa wasafi media ana lalamikia TRA hili ni swala la kawaidia kwa wale wasio na uzoefu wa kulipa kodi na kuendesha kampuni.
Mawazo yangu ni marahisi sana lakini ni muhimu sana;
1. Kampuni iwe na CPA maalumu wa kushughulikia kodi na mafao ya wafanyakazi. Huyu awe mtu mwenye uzoefu wa kodi na awe CPA.
2.wakurugenzi wakae na CPA wao kujadili mambo ya kodi mwanzo wa mwaka na kuweka mpango wa mwaka mzima mfano kuna njia kama za kufungua NGO ambazo zinaweza kipunguza kodi lakini huwezi kusubiri mwisho wa mwaka kufanya.
3. Kuwe na ripoti ya kampuni ya matumizi na mapato pamoja na kodi . Income statement kila miezi mitatu na sio mara moja kwa mwaka ili wadau na wamiliki wajue kampuni inaendeleaje na kodi zikoje badala ya kusubiri mwisho wa mwaka.
4. Muongeaji na mwakilishi wa mambo ya pesa ya kampuni awe CPA na awe anawasiliana moja kwa moja na TRA. Hivyo watu wa kodi wakija kwenye kampuni wapewe namba ya CPA badala ya kukutana na viongozi ambao hawajui mambo ya kodi.
5. Ni lazima CPA atoe elimu ya kodi ambayo inaitwa “withholding tax” hii wengi wanajichanganya na hawaielewi mfano kama una radio na kampuni ikaja kutangaza tangazo la ths 1m ni lazima ujue kodi ni tsh 180,000 na hiyo sio pesa yako ni ya serikali “TRA” na wewe unaishikilia “ withholding “ kwa niaba yao.
Hiyo sio pesa yako kisheria! Ndiyo maana Diamond analaumu wame freeze account maana kisheria tayari umechukuwa pesa yao TRA na kama ume toa risiti na kuthibitisha umeuza tsh 1m basi tsh 180,000 unatakiwa kuwa nayo kisheria. Hii sio pesa ya kutafuta!
Hayo ni mawazo ya bure huwezi kumuoma Azam ana lalamika kuhusu kodi kwasababu ana team na idara ya accountant kubwa yenye CPA wa kufuatilia haya maswala. Tatizo la kutokuwa na CPA utalipa kodi nyingi sana bila kujua.