Ushauri Kwa Wajumbe/Wabunge Hawa Mnaboa Sana - Jirekebisheni

Ushauri Kwa Wajumbe/Wabunge Hawa Mnaboa Sana - Jirekebisheni

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Nimefatilia sana semina hii/bunge hili la katiba, mambo madogo yanachukua muda sanaa na makubwa hawayaoni kabisa... wanarudiarudia mambo yaleyale na kupoteza muda mwingi sanaaa

Wabunge hawa wamekuwa vituko/makelele kila wakati/ wanasumbua sana/ wanarudiarudia sana maneno/ wanaingilia hoja za watu n.k wananikela sanaaa jirekebisheni bhana

1. Olesendeka
2. Serukamba Peter
3. Mtatiro
4. .........
5. Ongeza


Wenye hoja lakini wanazunguka sanaaaa mpaka kero

1. Mnyika
2. Jusa
3. .......
4. Ongeza

Mwenyekiti wa kamati
Zingatia muda na hoja vizuri hili kumaliza mapemaa.
 
Last edited by a moderator:
Tena inasikitisha kuwaona ktk jambo muhimu hili wanalifanyia Utoto. Wajuwe kuwa wao ni Wtz na katiba ni Jamhuri ya Serikali TZ. Katiba ya Tngyk ni baada ya hii. Wabunge nyinyi fahamu ni kitu muhumu mno.
 
Tena inasikitisha kuwaona ktk jambo muhimu hili wanalifanyia Utoto. Wajuwe kuwa wao ni Wtz na katiba ni Jamhuri ya Serikali TZ. Katiba ya Tngyk ni baada ya hii. Wabunge nyinyi fahamu ni kitu muhumu mno.

Yani nimeangali tangu walivyoanza nashanga sana, wengi wanatafuta sifa tu kwa 2015 kama serukamba anadandia sana hoja za watu
 
Tutazame shule zetu Hospital nk zinahitaji fedha kuifanya elimu ya msingi hadi kidato cha NNE na Waganga wa fani zote hadi mikoani. Sasa tunaharibu fedha nyingi kulipwa watu ambao hawakujipanga kwa maendeleo ya Taifa ila kujinufaisha kwa posho lukuki na kujishangilia kama Jana jioni. AIBU KUBWA SANAAAAA
 
Kwa hali ilivyo, naliona bunge la katiba likimaliza kazi mwezi wa saba au wa nane!
 
Ni Kweli Kabisa, Maana Muda Mwingi Waishia Ktk. Mabishano Tu, Kila Kundi Kujiona Ndilo Lenye Mamlaka Ya Kuzungumza Kwa Niaba Ya Wananchi!! Huku Wakiweka Maslahi Ya Makundi (Vyama) Mbele!! Na Ushabiki Tu!! Matokeo Ni Kupoteza Tu Pesa Za Walipa Kodi!! Wanatakiwa Waanze Vikao Saa 4, Badala Ya Saa 3 Asbh! Lkn. Wanakuja Wapendavyo!! Kama Leo Asbh. Wanakula Bataz Tu, Hadi Saa 10 Jioni!! Sasa Kwa Mwenendo Huu, Si Watakaa Kwa Mwaka Mzima, Pale Mjengoni?? Na Pesa Yazidi Teketea Tu!! Kweli Hili Ni Janga La Kuimaliza Hazina!!
 
inakela sana na leo serukamba kapiga mikelele sanaaa...
 
Back
Top Bottom