Ni Kweli Kabisa, Maana Muda Mwingi Waishia Ktk. Mabishano Tu, Kila Kundi Kujiona Ndilo Lenye Mamlaka Ya Kuzungumza Kwa Niaba Ya Wananchi!! Huku Wakiweka Maslahi Ya Makundi (Vyama) Mbele!! Na Ushabiki Tu!! Matokeo Ni Kupoteza Tu Pesa Za Walipa Kodi!! Wanatakiwa Waanze Vikao Saa 4, Badala Ya Saa 3 Asbh! Lkn. Wanakuja Wapendavyo!! Kama Leo Asbh. Wanakula Bataz Tu, Hadi Saa 10 Jioni!! Sasa Kwa Mwenendo Huu, Si Watakaa Kwa Mwaka Mzima, Pale Mjengoni?? Na Pesa Yazidi Teketea Tu!! Kweli Hili Ni Janga La Kuimaliza Hazina!!