Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

Mimi namkumbusha tu Taifa linahitaji watu wengi wa aina yake. Hivyo asikate tamaa. Muhimu tu akosoe kwa staha. Na uzuri yeye ni wakili Msomi, na pia mwanasheria.

Lakini akumbuke pia 2025 ataingia bungeni kupitia Chadema. Hivyo aanze maandalizi mapema ya kushona suti.
 
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.

Ni mumeo? Au akisema unaumia wapi? Au alipokuwa kashikiliwa ulikosa matumizi?
 
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
Umekaa hapo unaogopa,

Mwache aseme ni haki yake kikatiba...
 
Hakuna kwenda pole pole kwa kuwa kuna watu wanataka kijimilikisha siasa za nchi hii. Ushauri wako mpelekee Kikwete ambaye anajificha nyuma ya kivuli cha kupinga kuchanganya dini na siasa wakati yeye mwenyewe ni mnufaika wa mfumo huo. Mwambie dini ni siasa na siasa ni dini!
 
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
Huwa anatekwa na hisia . Huo ndiyo udhaifu wake. Lkn kinachotoka mdomoni kwake 99.99% kina mantiki. Huyu jamaa ana akili sana kwa jinsi mdomo wake unaendana na akili yake aka perfectly synced.
 
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
Amemaliza kujitambulisha.

Nakubaliana na ushauri wako.

Sasa afanye kama alivyokuwa akifanya akiwa wakili mahakamani mbele ya majaji wale.

Watu wa aina hii wanahitajika sana katika mapambano na hawa walioamua kuhujumu taifa hili wakitegemea hawatakuwepo watakaopaza sauti zao wasikike na wananchi.
 
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
Una elimu gani?
 
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
Mbona serikali haikwenda polepole kwenye kupitisha mkataba
Hakuna kwenda polepole tutakwenda haraka kama serikali inavyotupeleka puta kwenye limkataba la kitumwa
 
Polepole ya nini acheni watu wapige spana watoe nyongo zao nchi hii ni inahitaji kupigwa msasa kila idara

Sahv najitafuta we ngoja nijipate ndio serikali itanitambua

Haiwezekan kikund cha wajinga wachache wanataka kuifanya nchi kama geto lao.
 
Hakuna haja ya kuwapigania na kuwatetea wajinga wasio jitambua na wasio jielewa.

Watanzania si watu wa kuwatetea ni kuwaacha na matatizo yao na shida zao.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Back
Top Bottom