Ushauri kwa wale wa saut ambao loans board haijawaletea fedha ya field

Ushauri kwa wale wa saut ambao loans board haijawaletea fedha ya field

Mbute na chai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
564
Reaction score
593
Chagueni watu wachache kisha muwatume Loarns Board ili wakahakiki kama majibu ya loans officer wa chuo ni sahii. Huu ni mkataba ambao mmeingia na board na umethibitika pale board walipokubali kuwapa mkopo. Hivyo kisheria hawawezi kuvunja mkataba kiolela. Tokeni na barua kutoka loans officer wa chuo, msitulie kumbe fedha inaliwa na wajanja, wajinga kisha mkaja lipa fedha ambayo hamkutumia kabisa.
 
Back
Top Bottom