Chagueni watu wachache kisha muwatume Loarns Board ili wakahakiki kama majibu ya loans officer wa chuo ni sahii. Huu ni mkataba ambao mmeingia na board na umethibitika pale board walipokubali kuwapa mkopo. Hivyo kisheria hawawezi kuvunja mkataba kiolela. Tokeni na barua kutoka loans officer wa chuo, msitulie kumbe fedha inaliwa na wajanja, wajinga kisha mkaja lipa fedha ambayo hamkutumia kabisa.