Ushauri kwa walimu ajira mpya

Ushauri kwa walimu ajira mpya

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,312
Reaction score
1,475
Hellow teachers..
Kumekuwa na vikwazo vingi vinavyowekwa na serikali hasa kipindi hiki cha uchaguzi katika suala zima la Utoaji wa ajira za walimu.. Mara utasikia walimu wa arts hawahitajiki tena, mara utasikia usikia pesa za kuongeza mishahara hakuna wakati za kufanyia anasa zao zipo.
Wiki kama mbili zilizopita serikali ilitia ajira kwa walimu (first selection) na kutoa deadline ya siku ya kuripoti..
Kiukweli hadi kufika tarehe 11 may serikali ilisitisha ajira kwa walimu ambao hawakuripoti... Na tukirudi nyuma kuchelewa kule kuliathiriwa na suala la usafiri kwani kwa siku mbili mfululizo magari yalikuwa yamegoma.. Sasa basi kwa hawa ambao wamebahatika kuchaguliwa second selection nawahimiza yafuatayo:-
1. Wahi kabla ya tarehe ya deadline kuepuka vikwazo Vyao..
2. Jiandae kwa kujibebea akiba ya kutosha, usitegemee 100%kupata zile pesa za kujikimu za siku saba wala nauli.. Halmashauri nyingi kwa sasa zinaweza kukupa visingizio kibao.. Mara mwenge, mara uchaguzi, mara mambo ya bvr n.k
3. Usitegemee kupata mshahara Wa kwanza.... mara nyingi utasikia majina hayajawa approved, mara mmechelewa kuripoti n.k
4. Hakikisha unabeba documents zote muhimu hasa Kama umepangwa mbali na nyumbani kuepuka usumbufu, beba academic certificates O-level na A-level, birth certificate, cheti cha ndoa (kama umeoa) result slip ya matokeo ya chuo (hasa wale wa diploma na grade A) au cheti chako chenye matokeo..
5. Jiandae kwa mazingira yyt... Usitegemee kupangiwa pazuri hata kidogo.. Jijengee mazingira magumu sana.. Itokee tu umepata mjini au sehemu nzuri.. Ukijipangia mazingira mazuri ukapata magumu utaumia sana...
6. Usitegemee kabisa kubadilishiwa mkoa, halmashauri au kituo cha kazi, labda kama una mtandao unaoeleweka huko tamisemi (sio wizarani)
Kipindi hiki wengi watajifanya wanauwezo wa kukuhamisha, so utakubaliana nao kiasi cha fedha.. Ukiwapa ndo kwishinei..
7. Heshimu sana code of conduct... Wewe ni kioo cha jamii.. Jaribu kujiheshimu.
8. Maafisa utumishi wengi na maafisa elimu kwenye halmashauri nyingi hupenda sana kutumia hii loophole hasa kupata mademu wapya.. We mwalimu wa kike utaingizwa mkenge kwa kisingizio cha kupangiwa pazuri au maswala yako ya muhimu kushulikiwa ipasavyo... Sina hakika kama walio wengi wanatekeleza.. Kwa wanaume kuhonga.. Utaula wachuya.
NB: SERIKALI KWA SASA HAINA SHIDA KUBWA SANA YA WALIMU HASA WA ARTS... Kupoteza ajira kwa suala dogo ni jambo la kawaida... Timiza wajibu wako..

FB.
 
Ni ushauri mzuri sana huu!!!!
 
Back
Top Bottom