Ushauri kwa waliopata alama za chini

kijana paul

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
91
Reaction score
6
kwa wale wenzangu na mm tuliopata DDC kuna chuo kma MUST(mbeya university of science and technology) bdo wanapokea maombi kwa wale wa direct entry mwixho ni tarehe 28/8/2014 fomu za kujiunga zinapatikana kwenye website yao
 
mbona tcu guide book kimeshaeleza hayo yote tatizo nyinyi vijana wavivu kutembelea mitandao muhimu juhudi zenu mmezipeleka facebook, twitter,na whatsp
 
kwa wale wenzangu na mm tuliopata DDC kuna chuo kma MUST(mbeya university of science and technology) bdo wanapokea maombi kwa wale wa direct entry mwixho ni tarehe 28/8/2014 fomu za kujiunga zinapatikana kwenye website yao

Acha kutisha watu, vyuo vyote vya uhandisi entry qualification zinaendana, haijalishi ni coet(udsm), must etc
 
Acha kutisha watu, vyuo vyote vya uhandisi entry qualification zinaendana, haijalishi ni coet(udsm), must etc

hujanielewa mi ctixh mtu wala nn wote tupo kusaidiana, we ukisema hvo sahv college kma ya arusha hawapokei watu Tena wanasubiria wale waliopangwa ple kwasabbu chuo kinafunguliwa tarehe 4/8 cjui umenielewa nlikua namaanisha college
 
shadcole kuna mawili: au wewe ni mchawi au ulifeli FII na ukajenga uadui kwa waliokuacha kimasomo. Haiwezekani kuanzia asubuhi hadi usiku unawakatisha watu tamaa kwenye jambo ambalo lipo wazi kwa comment zako!........cut-off point za kozi nyingi za sayansi ni point 2 na hata 2.5 ambazo ni D,E & E au D,D & E. WAdanganye wavivu wa kusoma!
 
Last edited by a moderator:
kwa wale wenzangu na mm tuliopata DDC kuna chuo kma MUST(mbeya university of science and technology) bdo wanapokea maombi kwa wale wa direct entry mwixho ni tarehe 28/8/2014 fomu za kujiunga zinapatikana kwenye website yao

unaenda kuapply level gan!?
 
kaka mi mwenyew muhanga wa haya matokeo nimepata hvo lengo lngu la kusema hvo ni kwmba tujaribu kote kote na xio kma unavofikiria Hamna mtu ambye hatak kuendelea kusma kma nimexema vibya tunarekebixhana tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…