Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.

hzo koz zngne hawa vijana cjui huwa wanawaza wakiwa wamelewa,sa wkt anaiomba hakuifanyia research kujua ka nzur au la?

Vipi bch f art in comunty econ0mic devlpmnt inasoko?

we kasome 2 dogo,mambo mengne ni mbele ya safar.
wasiwasi wako tu, kuna mtu amemaliza B.Com lakini mpaka leo yupo mtaani. Hakuna facult bora kuliko nyingine. Lengo langu nikimaliza napiga diploma ya utalii... Then nitakuwa na chance kubwa.Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.

Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.
mimi nina malengo yangu katika hiyo Archeology.

hzo koz zngne hawa vijana cjui huwa wanawaza wakiwa wamelewa,sa wkt anaiomba hakuifanyia research kujua ka nzur au la?
ushauri mzuri kaka..yeye mwenyewe anatakiwa afikirie akisoma histori ataenda kuajiriwa wapi zaidi ya shuleni?Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.
siendi kusoma B.A In History ni B.A.In Archeology... Nina malengo yangu. 🙁ushauri mzuri kaka..yeye mwenyewe anatakiwa afikirie akisoma histori ataenda kuajiriwa wapi zaidi ya shuleni?