Ushauri kwa walokosa mkopo

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Napenda kutoa ushauri kwa wanafunzi wote waliokosa mkopo kufanya mambo yafutayo:1.kuwa na umoja katika kudai haki yenu, haki haiombwi inadaiwa, wasiwepo wanafiki wowote wa kuwarudisha nyuma, njia peke ni vyuo kupanga tarehe ya kwenda kupiga kambi pale bodi ya mikopo lazima watatoa tu. 2.kama mwanafunzi hutaki usumbufun wa hapa na pale ni bora ukahamia open university,ada ni nafuu,vyuo vipo kila mkoa, unaweza kusoma wakati huo huo unajishughulisha na shughuli mbalimbali za kukuingizia kipato,pia kwa sasa mfumo wao wa elimu wameuboresha sana ukiwa na juhudi degree yako utaipata ndani ya miaka mitatu, ukiwa vivu ndiyo 4,5 hadi 6. Ni ushauri tu wa mimi kaka yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…