M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Jan 18, 2025 #1 Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Jan 18, 2025 #2 Malaria 2 said: Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi Click to expand... Anaweza kujiua anapenda sifa sana.
Malaria 2 said: Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi Click to expand... Anaweza kujiua anapenda sifa sana.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Jan 18, 2025 #3 Ngongo said: Anaweza kujiua anapenda sifa sana. Click to expand... Watu wajinga huwa mnakawaaida ya kuwaonea wivu watu werevu.
Ngongo said: Anaweza kujiua anapenda sifa sana. Click to expand... Watu wajinga huwa mnakawaaida ya kuwaonea wivu watu werevu.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Jan 18, 2025 #4 Mtu anaposhauri au kukosoa, haimaanishi yeye ni malaika, tujifunze kupokea/kukataa ushauri kwa njia iliyo chanya, siyo kwa kumshambulia mtoa ushauri au mkosoaji.
Mtu anaposhauri au kukosoa, haimaanishi yeye ni malaika, tujifunze kupokea/kukataa ushauri kwa njia iliyo chanya, siyo kwa kumshambulia mtoa ushauri au mkosoaji.