Ushauri kwa wanaotaka kuunga directly degree kutokea diploma mwaka huu.

mkopo upo kwa cozi za sayansi kasoro IT .haijalishi diploma au six ila uwe sayansi.kama ni art anza kutafuta panadol

Si kweli, kuna watu wapo UDSM, OUT, UDOM na MZUMBE wanasoma IT/Computer Science/Information Systems wanapata mikopo kama wengine.
 
Nafikiri unampa moyo tyuu bora ukamsaidia kuwa means badala ya mkopo anaotegemea.

Ndo maana Nakuambia Acha upotoshaji. maana Hujui. Hata Unaoongea nao ni kina Nani.. Tuna Mifano hai ya Watu walio na Mikopo wametoka Huko Diploma na Wanaendelea Na Skuli na Wanakula Na Boom pia.

Cha Kufanya Awe na Sifa Za Mkopo na Pia Kozi aliyoichukua inafaa kumpa Mkopo kama Kwenye Guide Book wameweka Priority anapata bila Wasiwasi..
 
Si kweli, kuna watu wapo UDSM, OUT, UDOM na MZUMBE wanasoma IT/Computer Science/Information Systems wanapata mikopo kama wengine.

Tatizo ni kutosikiliza Bunge na Wamekariri eti Wanasayansi.. mbona Kuna Vyuo kama Saut hakuna Wanasayansi ila Wanapokea Mikopo..

Low Thinking za Watu halafu anajifanya Anajua
 
Yes maana Kama Ni Medical Lab Technology Utapata maana Ni Priority

Kakaaeee uyooo ni lab techn na sioo medical lab uwee unaelewaa alafuu ungejiongezaa pale DIT hawatoii kozi za afya asee uwee unaevaluate kidogo
 
Tatizo ni kutosikiliza Bunge na Wamekariri eti Wanasayansi.. mbona Kuna Vyuo kama Saut hakuna Wanasayansi ila Wanapokea Mikopo..

Low Thinking za Watu halafu anajifanya Anajua

Waambie hao, kuna watu wako SAUT wanasoma Sociology, Mass Comm, PR, Law na wanakula mikopo kama watu wengine tu
 
kwa mimi niliyechukua business adminstration...diploma nikitaka kuendelea nayo je naweza pata mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…