Ushauri kwa wanaotegemea kusafiri kuelekea Malawi, ni lazima uwe umechanjwa dhidi ya UVIKO-19 na uonyeshe kithibitisho

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Nawakumbusha tu kwa wadau wowote mnaotegemea kusafiri kuelekea nchini Malawi kwamba nchi hiyo ina masharti makali dhidi ya UVIKO-19. Hakuna raia anayeruhusiwa kuingia nchini humo pasipo kuonyesha uthibitisho wa kuchanjwa dhidi ya virusi ya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19.
Nawatakia mema katika jitihada za kujenga nchi yetu.

Source:
 
Pole pole kawauma wengi daaah
Yaani vile watu wanashindwa kuwa wazi, ila kawauma wengi sana although wanapitia mgongo wa matamko yake nk.

Na mpaka uzi huu unaandikwa anaingia kwenye extra name appeared on the day in social medias kwa zaidi ya mara 23172 ahahahahaaaaa....

Na amezima line ya simu inayofahamika kwa wengi ameacha tunayoifaham majority wachache ahahaa...
 
Juma1967 mkuu kuna uzi ulisema umetoka.Malawi na uliingia bila kupima uviko 19, nikakwambia labda umepita njia ya panya ...Ona sasa masharti ya kuingia Malawi ☝️😃
 
Sio kupima nazumgumzia **KUCHANJA**a.k.a Vaccination
 
watu wachawi

hii taarifa ilikuwa wapi kupostiwa

mnamjaza na kumtisha ili akatae.

kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
 
No impossible under the sun.
Kuchanja hachanji na cheti ataonyesha mpakani.
 
Atakubali uteuzi lakini hawezi kwenda Malawi!! Kama ni uBunge wameisha mvua!!! Imani yake juu ya chanjo haiteteleki!
 
Nawakumbusha tu kwa wadau wowote mnaotegemea kusafiri kuelekea nchini Malawi kwamba nchi hiyo ina masharti makali dhidi ya UVIKO-19. Hakuna raia anayeruhusiwa kuingia nchini humo pasipo kuonyesha uthibitisho wa kuchanjwa dhidi ya virusi ya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19.
Nawatakia mema katika jitihada za kujenga nchi yetu.

Source:
Bora ungekuwa mwazi tu, mwambie uliyemuona anafungasha mizigo yake toka Dom kuwa ajiandae kwa hilo kuliko kuzunguruka mbuyu.
 
Yaani vile watu wanashindwa kuwa wazi, ila kawauma wengi sana although wanapitia mgongo wa matamko yake nk.

Na mpaka uzi huu unaandikwa anaingia kwenye extra name appeared on the day in social medias kwa zaidi ya mara 23172 ahahahahaaaaa....

Na amezima line ya simu inayofahamika kwa wengi ameacha tunayoifaham majority wachache ahahaa...
..."Na amezima line ya simu inayofahamika kwa wengi ameacha tunayoifaham majority wachache ahahaa".... sasa hapo tofauti yake nini ukisema kwa wengi then majority?? Utakua wale wa buku 7 wewe

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom