Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
He he he heee Mmasai hafi kwa ukimwi labda Simba au umesahau Babu wa loliondo alipata dawa toka kwetu.Du..........Tutapona ukimwi kweli?Maana kila kibanda cha hao wake zako utakuta mkuki umechomekwa kwa nje halafu ndani njemba zinamega wake zako.
Fahari ya mwanamke wa Kimasai ni kuzalisha mifugo kwa wingi na kumpatia mumewe utajiri mkubwa.Loh! sasa mume anakua yupo yupo2? kama kweli makabila mengine wanafuja wanawake basi, sasa huyo mwanamke atapata wapi mda wakujiangalia afya yake na kujiweka sawa kama kazi zote hizo yeye? ah mie naona nisingeolewa na hiyo kabila hata kama ningekua Mmasai.