Ushauri kwa wanaume: Ukitaka kupata raha ya dunia.....oa mmasai

wakati huyu mwanamke anazalisha mwanaume anafanya nn? Au ndo mambo ya kulelewa?(samahan wamasai nahtaji ufafanuzi tu)
Kazi kubwa ya mwanaume ni ulinzi na usalama wa boma zake pia kupigana vita pindi inapotokea.
 
Mungu awakumbuke wanawake kama binadamu wenzao wasipowakumbuka. Hayo ni mateso sio mapenzi wala ndoa. Sielewi mwendhenu!
 
duh kweli Bongo tambalale...kweli unafanya mwanamke awe kizalisho wewe? Ulaaniwe na mungu hata shetani pia akulaani...
Kama kulaaniwa wangeanza wachaga kwani mwanamke wa kichaga ndie mzalishaji wa kila kitu huku Mwanaume akinywa mbege na chang'aa kilabuni.
 
Mungu awakumbuke wanawake kama binadamu wenzao wasipowakumbuka. Hayo ni mateso sio mapenzi wala ndoa. Sielewi mwendhenu!
Wala usishangae huo ni utamaduni wa kabila la kimasai na wewe ungezaliwa huko ungefuraia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…