Bado hatujafikia critcal pouint,kuna kipindi itafika wana vyuo watakuwa hawana njia nyingine isipo kuwa kuwawajasiriamali,
Ukisoma historia mbalimbali za jinsi wajasiriamali walivyo anza wengi walianza katika hali tete, ukichukulia mfano wakati wa vita kuu ya pili ya dunia kuna watu walitumia lile janga na kuja naidea ambayo hadi leo hii wao ni matajiri wakubwa sana.
Ukiangalia nchi kama India inagraduate wengi sana ambao wanaingia moja kwa moja kwenye ujasiriamali, na hiini kutikana na matatizo makubwa ya kazi yaliyoko India ukiweka maananiPopulation yao,
Tanzania kuna kipindi kitafikamagarduate watakuwa hawana njia nyingine isipo kuwa kuingia katikaUjasiriamali, make kadri muda unavyo enda kazi zinazidi kubana na graduatehawatakua na njia nyingine,
SO HAYA MAWAZO UNAYO SEMA YAMEGOTAKWENYE KUAJIRIWA YANA MWISHO WAKE, NA NI PALE KAZI ZITAKAPO KUWA TAITI SANA.HATA NIGERIA AMBAKO MTU ANAMASTER LAKINI ANACHOMA MAHINDI BARABARANI ILIANZA HIVI HIVI ZAMANI HAIKUWEPOMAKE KAZI ZILIKUWEPO, NA HATA KENYAHII YA NIGERIA IPO SANA, NA HUKU INAKUJA