Ushauri kwa Wazee wanaoanzia miaka 55 kuendelea

Sahihi, bongo Officer ni rahisi kuhongwa na mavyakula yasiyo na quality kuingia sokoni

Huku Afisa yupo well trained na hawezi fanya hiyo kitu
 
Makala ndeefu,lkn maneno mazuri sana ongera.
 
Kijana acha kuandika nadharia. Subiri ufike huko ndio uje kuandika (joke)

All in all, since 45 ukishauriwa ukacheki afya for no reason, just go. Ukiambiwa usike mingano just concur, etc.
 
Sahihi, bongo Officer ni rahisi kuhongwa na mavyakula yasiyo na quality kuingia sokoni

Huku Afisa yupo well trained na hawezi fanya hiyo kitu
Imagine chips zinapikiwa mafuta ya transformer na kuku wananenepeshwa na vidonge vya ARV, hapo vijana kukatiza 50 ni kizungumkuti sheikh. Wazee wetu kukatiza 50 ilikua kama kumpiga mlevi tu maana walikua wanakula vyakula organic. Na kizazi cha 60,70 na hadi 80 bado wako bomba kabisa na 50 wanakatiza tu ila hawa wa 90 na 2000 ndio mambo yalipoanza kuharibika. Chips dume.
 
Safiiiii mnooo!
🙏🙏🙏🙏🙏
👏👏👏👏👏
 
Mambo yote uliyoyaandika ni sahihi sana!
Mi nimeanza na kutafuta eneo nitakalozikwa,hivi sasa nipo nalifanyia fencing,humu ndimo nitakamopumzika mimi na uzao wangu wote!KUZIKWA HOLELA kwenye maeneo ya wengi ndiyo chanzo cha koo nyingi kuwa na mikosi!
"Mi nimeanza na kutafuta eneo nitakalozikwa,hivi sasa nipo nalifanyia fencing,humu ndimo nitakamopumzika mimi na uzao wangu wote!"

Nikiwa na 27yrs nilimuonesha mzee ramani pia kwenda naye kwenye kiwanja na kumuonesha "HAPA NITALALA MIMI & MKWEO HAPA",Aiseee!! Mzee wangu alizingua mbaya. NILISIMAMIA NILICHOKIAMINI..🙏
 
Nimeipenda! Haiwezekani na haitawezekana mtu chini ya miaka 55 kuyajua ya walio zaidi ya 55.
 
Nmeipenda namba 3, nje ya mji ukiwa na mazingira mazuri uliandaa ni sehem nzuri sana ya kuishi
 

Haya mambo huwa hayaeleweki kirahisirahisi mkuu,hongera kwa kusimamia msimamo wako,kuna siri kubwa katika hili,ndiyo maana watu wazito serikalini huwa hawazikwi holela(popote tuu),tujitahidi kuandaa maeneo ya historia zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…