kumekua na uhaba mkubwa walimu wa sayansi shule za sekondari, hii ni kutokana na walimu wa sasa wanao hitimu vyuo mbalimbali ni product ya shule za kata shule hizo nyingi hazina michepuo ya sayansi tangu zilipoanzishwa matokeo yake 98% ya walimu waliozalishwa ni wa history/kiswahili. nashauri wizara kutuchukua cc tulio hitimu degree za uhasibu, manunuzi banking , uchumi, sheria nk kwakua tulifanya vizuri latika masomo ya sayansi tupelekwe crash programe tuje kuokoa taifa, kwa sasa hatuna kazi hadi tunaitwa mabomu kwa taifa bora tu chukuliwe tuokoe jahazi