Ushauri kwa Yanga SC

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Penye ukweli usemwe

Kwa Mpira ule yanga mkicheza CAFCL, Mifaulo kama ile, miguu yashingo miguu ya roho
Mapema tu mtalaum malefa.

Your browser is not able to display this video.
 
Alafu wachambuzi waetulia kimyaaa, kama ile aliyochezewa Miquissone mbaya sana.
 
Yanga Chukueni Huu Ushauri Mtaukumbuka Ipo Siku
 
Yanga ni wakubwa sana nchi hii, wakubwa kuliko TFF ndiomana wanataka refa wao, wakubwa kuiliko league ndiomna wanataka tarehe yao ya mchezo na wakubwa kuliko waamuzi ndioman wana kanuni zao za kucheza. Wabishi walalamishi na wanaogopwa sana na waachambuzi wa mpira nchini. Hata huu ushaur sioni wakiufuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…