Most of the time he is in control of the situation. He is knowledgeable.humorous,satirical and utterly comical. Mi binafsi namkubali sana.
I think his one obvious flaw is his bias to sisiem,he always fails to be analytical of the contemporary issues

wakuu hii imekaaje?
what is a role mode??
kwako mr kibonde
siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa lady jaydee,
yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo,na kifikra hata kimaongezi,
lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana
wasio na uzoefu hasa wa kimaisha,na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana,
na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait,
angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!
kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!
mod anzisha jukwaa la kibonde
Hivi huyu kibonde kabla ya utangazaji alkuwa ananyadhifa gani hapa TZ, Naona hazpiti cku 2 bila thread inayomhusu. Pendekezo mimi naona mnampaisha sana na hakuna ulazma wakuanzsha thread inayomuhusu hvyo basi naonelea ni vema kama mnaushauri kwake ni bora mkaenda kule FB na mkamtumia sms kwa urahisi.
MchakaMchaka na NN, nimeshindwa kuvumilia imebidi nicheke.....Btw: NN hii bado pro bono?naunga mkono hoja kwa herufi kubwa. Au anaweza kuanzisha jukwaa la clouds media group halafu kibonde akawekewa sub-forum yake.
Nikusahihishe kidogo ngugu, nadhani hao vijana ndio wenye akili kuliko huyu kubwa jinga. Arnold Kayanda is more matured kifikra nadhani kuliko vijana wote wa Cloudskwako mr kibonde
siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa lady jaydee,
yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo,na kifikra hata kimaongezi,
lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana
wasio na uzoefu hasa wa kimaisha,na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana,
na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait,
angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!
kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!
Kibonde ni kilaza tu! That is all that I know. Inasemekana alipata divisheni ZERO form six!