Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

Halafu nashangaa mpaka sasa hakuna mtu aliyeanzisha sredi ya kumtwisha Kibonde lawama za mgao wa umeme. Au ipo lakini mi ndo bado sijaiona?

Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo ntaambiwa mizizi

kwani yule Regina Mwalekwa siyo matured? alikuwa anapair na Kibonde ila siku hizi simsikii tena.

Regina Mwalekwa nadhani kapotea njia. ile si aina ya redio inayomfaa, Radio one ndo ilikuwa mahali pake.

Regina Mwalekwa nadhani kapotea njia. ile si aina ya redio inayomfaa, Radio one ndo ilikuwa mahali pake.

Regina kuchekesha ni kitu kisichowezekana kama vpi awe anasoma taarifa za habari tu

Nyie mtu ana Dvs four ya mwisho huko mnamjadili dame

jamani kwami kibonde ndio nani?mbona mi simfaham.nifahamisheni wadau.ila kwa sisi tunao fuatilia habari za mpira wa miguu neno "kibonde" linamaana nyingine zaidi.sasa cjui mnamainisha kibonde ile ya kisimba na yanga au...ha ha ha.....nasikia 2015 atagombea ubunge jimbo moja wapo nchini.

Kibonde ni kilaza tu! That is all that I know. Inasemekana alipata divisheni ZERO form six!

Huyu ni wewe! Ume get personal bila kulenga kujibu hoja ya mtu. Unadai inasemekana alipata divisheni ZERO. Ushahidi unao?

Nyie mtu ana Dvs four ya mwisho huko mnamjadili dame

Kila mtu anajifanya anajua matokeo yake ya form four. Wewe unasema alipata divisheni four ya mwisho. Mwingine anadai "inasemekana" alipata ZERO. Divisheni four ya mwisho na ZERO ni sawa? Na ushahidi wa matokeo yake unao?

umaarufu wa kibonde unatiwa nakshi hapa... haya endeleeni kumwagia sifa na kashfa.. vyote vinamjenga mtu kwa nafasi yake

RIP Kibonde, twaona CMG inapata pigo baada ya pigo kwa kuondokewa na watu wenye madini...
Hatuna ujanja, safari yetu ni huko huko tu...
Pole kwa wafiwa..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…