Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Kutokana na kukua kwa teknolojia dadazangu wengi sana mnatabia za kupiga picha tata(picha za utupu) hii nmeshuhudia kwa baadhi ya wanawake.
Wakwanza huyu ni dem wa mshkaj wang yy anapenda sana picha za selfie sasa juzkat kanipa simu yake nimuinganishie ile app ya kutotumia bando nkaona ngoja njaribu kwnza camera yake nkajipiga picha ya selfie baadae nkaifuta nkaenda Hadi kwnye trash lengo nifute na huku hyo picha yangu asalaleee nkakuta picha zake kibao kapiga yupo naked kabisa mambo yote hadharani mara nyingine apige uke wake daah ikabid nfute tu picha yang nkamsetia sim yake sawa nkamrudishia.
Wapili huyu ni nlimwachiaga simu yng miaka kadhaa wakat naenda jkt mujibu wa sheria asee wakat narud kupitiapotia simu yang nkakuta kapiga pic za uchi ikabid nizifute maan muda ulionyesha zimefutwa karibuni tu ina maana alivyoona nmerud akafuta.
Watatu picha nlizikuta Kwny smart nlipew na ndugu yng ambapo apo kabla alikuwa anatumia house girl wake nae alikuwa anapiga sana picha za uchi tena huyu yy akupata hata bahat ya kuzifuta maana aliondoka simu akaicha ndpo nkapew mm pasipo wao kujua kilichopo humo.
Mwingine yy alipiga Kwny simu ya rafiki yng wakat ammkalia jamaa wakiwa faraghan yy alionyeaha maziwa tu. Lengo la kuandika apa ni kuwaelekeza dadazng huo mchezo ACHENI au laa ni bora kama ukitaka kudelete picha delete Kila mahali wapo baadhi mnakuwa hamjui sa naomba niwaelekeze Kwny Google photo ukishadelete pembeni kuna mahali wameandika TRASH na alama ya dustbin🗑️ ingia na apo futa kabisa na uko lasivyo utakuja uaibike siku ukiibiwa simu wahuni wakaotea picha za uko Kwny iphone nmesahau ilo eneo ila napenyew lipo ata kma kuna mahali Kwny iphone unaweza kuweka pic zako private ila sikushaur uweke umo picha zako tata lakina pia ata kwa mnaotumia computer hakikisha unafuta Kwny recycle bin kwn Napo picha zinabaki mpk uzifute na huku.
NB: Pia kuna wanaume hawafahamu hilo nanyie pia jifunzeni
Aaargh andiko limekuwa refu ila mwenye kusikia na asikie mwenye kuelew na aelewe ni hayo tu.