Ushauri kwenu kina dada...

Lakini mkuu mara nyingi hizi bin au trash za simu vitu huwaga vinajifuta moja kwa moja baada ya muda flani
Yeah mdamwngine huwa hvy Lakin kama unafuta bora uhakikishe hazipo kabsa
 
Nanyie wanaume mkome na mkome kabisa tabia ya kuomba omba hizo picha za nyuchi toka kwa wanawake. Kujifanya watakatifu kumbe nyie ndo source mmxxxeew!!
Kweli kabisa cha muhimu kuwa makini tu
 
We, ndo zilikuwa zimejitokeza baada ya kutoka kushave.Yaan ni mvi kabisa na nina uhakika lazima zitakuwa zimeongezeka maana ni kwenye kinena.
Sawa. Lakini mvi pia zinaongeza mashamsham, ni kama umeblichi. Yani unakuwa kama vile kichwa cha Defao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…