Ushauri kwenu wajuzi

Faru12

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
391
Reaction score
235
Habari za jioni mabibj na mabwana. Nakuja kwenu kwalengo lakupokea ushauri. Nilitaka kujua kwayeyote mwenye uelewa na gari aina ya TOYOTA NOAH new model. (1)Bei yakununua mikononi mwa MTU inaweza ikafika kiasi gani.
(2)uimara na unywaji wa mafuta. Na je hizi new model zinatofautiana ukubwa wa (injini?) Ao zote zikosawa? Mwisho kabisa nataka ushauri wenu kuna mtu anauza yakwake VOXY bei yamwisho milioni 6 imetembea kilomita 165000. Namba C, Nisawa? Ao anataka kunipiga? NB: Sina uzoefu na magari. Nikwaajili ya biashara. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…