Ushauri;kwenye kuingilia siasa za nchi nyingine

Ushauri;kwenye kuingilia siasa za nchi nyingine

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
280
Reaction score
40
Habari!
Naomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika hii isue ya magufuli kwenda kenya kumnadi raila odinga je sheria inasemaje kuhusu hili je nchi moja inaruhusiwa kuingilia siasa za nchi nyingine?
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom