B Baba mtata JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 280 Reaction score 40 Dec 13, 2012 #1 Habari! Naomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika hii isue ya magufuli kwenda kenya kumnadi raila odinga je sheria inasemaje kuhusu hili je nchi moja inaruhusiwa kuingilia siasa za nchi nyingine? Nawasilisha
Habari! Naomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika hii isue ya magufuli kwenda kenya kumnadi raila odinga je sheria inasemaje kuhusu hili je nchi moja inaruhusiwa kuingilia siasa za nchi nyingine? Nawasilisha