Ushauri: Lissu amjumuishe Mwanasheria Pasco Mayala katika timu yake ya uangalizi wa kisheria, ni mzoefu wa siasa na sheria

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Nashauri Lissu amjumuishe Pasco Mayala ili awe ana-watch brief katika kesi ya uhaini. Kwa kuwa kesi inahusisha mwanasiasa na Mayala(manjaa) ni mwandishi wa muda mrefu wa masuala ya siasa na sheria. Atakuwa msaada mkubwa
 
Pascal huwa hasimami mahakamani. Uwe unauliza kwanza
 
Nashauri Lissu amjumuishe Pasco Mayala ili awe ana-watch brief katika kesi ya uhaini. Kwa kuwa kesi inahusisha mwanasiasa na Mayala(manjaa) ni mwandishi wa muda mrefu wa masuala ya siasa na sheria. Atakuwa msaada mkubwa
Kwenye habari kweli ni nguli. Kwenye sheria ame practice wapi mpaka awe mzoefu mbobevu?
 
Nashauri Lissu amjumuishe Pasco Mayala ili awe ana-watch brief katika kesi ya uhaini. Kwa kuwa kesi inahusisha mwanasiasa na Mayala(manjaa) ni mwandishi wa muda mrefu wa masuala ya siasa na sheria. Atakuwa msaada mkubwa
Huyu mwanaccm ataogopa kufutwa chamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…