Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.