Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.

Mpo nyuma wapi? Watamkata atakimbilia upinzani watamuibia kura au huwajui CCM vizuri? Angekua na akili angepigania katiba mpya ili hata akifukuzwa awe na uhakika wa kurudi bungeni.
Ila kwa kuwa anawaza uwaziri hawezi kuona picha kubwa.