Ninaishi dar es salaam.
Njoo Pm mkuu nikupe some idea
Brother nimeshindwa kukuPm kwa sababu nina post chache nilizoweka kwenye jukwaa nahitaji msaada wako tafadhari ncheki kwenye dis mail. msakapesa@gmail.com. ntashukuru sana
We mpe dreva aweke kijiwe anachujua yeye, patana naye kipande shs ngapi kwa siku, mafuta juu yake na matengenezo madogo, halafu makubwa wewe, na uwe unadai hiyo hela kila wiki. Of course siku nyingine atakupa pungufu kidogo kwa madai biashara mbaya lakini mwangalie asizid sana tabia hiyo.
toyota hii gari ni nzima , mafuta inatumia km9-10 kwa lita, ina vibali vyote vya kukaa barabarani. bima ni thirdparty.kipande kwa siku ni shilingi ngapi?
pick-up aina gani na yenye uwezo gani?
hali ya gari ipo vipi?
mafuta inatumiaje?
imelipiwa ushuru na bima?
bima gani imelipiwa? comprehensive or third part?