Unataka kufanya hicho kilimo wapi?
Kama ulikuwa unalima matikiti u aonekana hilo eneo lina maji.
Kama Uko Dar njoo nikupe connection ya kuuza majani ya maharage UK. Ikijaribu ukaona inakulipa mnunuxi anaweza be a tani moja kika wiki na mauzo ni kwa kilo
Nokirudi kwenye swali lako.-
- Bei ya jumla ya mahindi mabichi ni Tshs 200 hapahaijalishi kubwa ama dog.
- mbegu nyingi za kienyeji ambaza ni za mda mfupi mara nyingi mahindi sio makubwa kivile unless ni ya mda mrefu amvayo hsitakufa kwenye biashara
Unalima maharage yale meupe alafu unakuwa unachuma majani yake.Mkuu hiyo biashara ya majani ya maharage ikoje?
Hongereni nyote mm ya kwangu ni DK yako tayari na ninatafuta mteja niko Mpwapwa Dodoma ndo,nilizoea kulima nyanya ila niliamua kujaribu na mahindi nione nmelima kama hekar 2 na nusu.kama kuna mtu ana conection ya wateja tafadhar tujuzane.0627471648Kila raheri mkuuu, mimi yako kwenye mbelewele na mengine yana watoto tayari

Tunaomba updateNimi nimepanda pioneer wanasema ni mazuri kuchoma tofauti na DK nataraj uza mabichi mwezi wa 12.
Mkuu tunaomba update baada ya kuvuna. Pia kama ulikutana na changamoto zozote tokea umelima mpaka mauzoMimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.
Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.
Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.
Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.View attachment 1948774View attachment 1948776
Mkuu,changamoto kubwa niliyo kutana nayo ni mdudu lusomi,huyu mdudu ni hatari sanaaa kwa mahindi ya kiangazi.Mkuu tunaomba update baada ya kuvuna. Pia kama ulikutana na changamoto zozote tokea umelima mpaka mauzo
Asante kwa hio feedback Mkuu. Hopefully pesa ilionekanaMkuu,changamoto kubwa niliyo kutana nayo ni mdudu lusomi,huyu mdudu ni hatari sanaaa kwa mahindi ya kiangazi.
Dawa nilikua natumia dudu all,inabidi uwe na ratiba ya mara mbili kwa wiki upige hiyo dawa,hadi yatapo weka mbelewele ndio unaweza acha kupiga dawa .
Niliuzia shambani kwa wachoma mahindi kuyafuata wenyewee, muhindi mmoja ulianzia 200-300.
Mkuu hiki kilimo ni cha umwagiliaji ama?.Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.
Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.
Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.
Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.View attachment 1948774View attachment 1948776
NdioMkuu hiki kilimo ni cha umwagiliaji ama?.
Kama ulipanda kwa Vipimo basi hapa kuna Faida. Labda utupe mwanga kidogo wa gharama maana binafsi ninataka kulima ola nina somo langu la njeMkuu,changamoto kubwa niliyo kutana nayo ni mdudu lusomi,huyu mdudu ni hatari sanaaa kwa mahindi ya kiangazi.
Dawa nilikua natumia dudu all,inabidi uwe na ratiba ya mara mbili kwa wiki upige hiyo dawa,hadi yatapo weka mbelewele ndio unaweza acha kupiga dawa .
Niliuzia shambani kwa wachoma mahindi kuyafuata wenyewee, muhindi mmoja ulianzia 200-300.
Kwenye gharama madhani maweza nisiwe najua sanaaa, maana mimi niliyalima Kwenye shamba langu lenye matkiti.Kama ulipanda kwa Vipimo basi hapa kuna Faida. Labda utupe mwanga kidogo wa gharama maana binafsi ninataka kulima ola nina somo langu la nje
mkuu kwenye majani ya maharage tujazie nyama kidogo tafadhali..Nimekusoma
Ulifanikiwa kulima? Mi nalima mbegu ya dk 777, ni mazuri kwa kuchoma ILA pioneer ni mazuri zaidi.Wakuu nasubiri
Boss hilo soko bado lipo? Na kwa mkoani Mbeya naweza kuuza?Unalima maharage yale meupe alafu unakuwa unachuma majani yake.
Ila sasa inabidi utumie mbolea ya asili.
Soko lipi UK