DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Advice
Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa
What I need to say.
Maisha sio leo ni Kesho Kama asemavyo Mkuu Mshana Jr mentor wa vijana wa TANZANIA.
Wakati wa ujana hasa Kuanzia 20s ni umri wenye up& down nyingi Ambazo ni uncountable .
Hapa ndo kundi kubwa la single mothers hupatikana kwa asilimia kubwa . na ndo hapa Vijana wa ovyo au tuwaite vijana the stranger upachika wanawake Mimba pasipo mikakati ya ndoa Wala kulea mtoto, kiuchumi, kiroho nk
Sasa maana Yake mtoto anazaliwa anamkuta Baba hayupo anakosa malezi huku Mama akiishi katika dimbwi kubwa la umasikini wa kiuchumi, kiroho na kimwili Sasa usitegemee huyo mtoto akasoma vizuri au kutoboa Maisha kirahisi labda asilimia chache tu ndo hufanikiwa kutoboa.
Nini kifanyike
Vijana wa kiume tafuteni Mwelekeo wa Maisha ya haki katika kuishi katika Usafi wa Mwili roho na Matendo, ikifika Muda utapata Mwanaume utaolewa na utaishi vizuri usikimbizane na wakati eti umri umeenda uzae tu huku hujasimama kiuchumi na Mwanao anakuja kuwa mtumwa wa watu huku Duniani akiteswa na kufanya Kazi zichoshazo mwili wake huku akilipwa ujira Mdogo.
Pia vijana wa kiume hakikisha unajitafta unajipata kwanza Kuzalisha Mwanamke na kumtelekeza ni ujuha usio na maana.
Mfano kila mtu angetamani kuwa na Maisha yaliyotawaliwa na busara za Juu Kama ya Mshana Jr je tutafikaje huko ikiwa hatuwekezi katika direction bali speed .
Haraka ni ya SHETANI. Tumtumikie Mungu katika haki na kweli.