Ushauri: Makabidhiano ya boda boda

Ushauri: Makabidhiano ya boda boda

electrical

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
30
Reaction score
3
Wazoefu, naomba mnisaidia jinsi ya kumkabidh mtu boda yako. Kuhusu mashahd, na namna ya kuhakksha boda yako inakua salam na huingii hasara endapo jamaa atapotea nayo
 
Vema, lakini pia ungeanzia kijiweni zilipo hizo boda boda, hata kuwadadisi waendeshaji wanakabidhiwaje hizo mashine za usafirishaji!? Usiogope wazoefu watakupa muongozo tu, vuta subira., wanakuja
 
Ingekuw tax ningekupa mwongozo.Ngoja wazoefu wa boda boda waje
 
Kuna mtu humu ana shida na Boda boda kwa mkataba
 
Back
Top Bottom