Wazoefu, naomba mnisaidia jinsi ya kumkabidh mtu boda yako. Kuhusu mashahd, na namna ya kuhakksha boda yako inakua salam na huingii hasara endapo jamaa atapotea nayo
Vema, lakini pia ungeanzia kijiweni zilipo hizo boda boda, hata kuwadadisi waendeshaji wanakabidhiwaje hizo mashine za usafirishaji!? Usiogope wazoefu watakupa muongozo tu, vuta subira., wanakuja