GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,663
Wadau salute
Nimeona nianzishe uzi huu ambao dhumuni lake nikukufahamisha mambo matano yakuweka akilini unapotafuta apartment ukiwa Arusha.
Naamini bandiko hili litasaidia watu wote wanaofikira kupata apartment ndani ya A town.
Kwa kuanza naomba niseme apartment maana yake ni nini.
Na nitatuma lugha rahisi kabisa.
Apartment maana yake ni chumba au vyumba unavyoweza kupangisha kwa siku, wiki, mwezi, mwaka etc.
Apartment kwa kawaida huambatana na huduma zote muhimu katika makazi ya kisasa. WiFi, Clean Toilets, TV subscription services Dstv, Laundry service, car hire services na kadhalika.
Kwahiyo hiyo ndiyo maana ya apartment ninaenda kuelezea hapa.
Binafsi nimeishi kwenye apartments kadhaa hapa A town kwahiyo naweza sema i can give you best advice.
Lakini pia kabla sijaendelea mbele nataka niseme nimeamua niandike uzi huu si kwa wakazi wa Arusha pekee.
Hata wewe uliopo
• Dar es Salaam
• Zanzibar
• Kilimanjaro
• Mbeya
• Mwanza (Rock City)
• Dodoma....na hata nje ya nchi.
Unajua kipindi hiki watu wengi sana wanasafiri na kuja hapa Arusha kwa shughuli tofauti.
Wapo wanaokuja kwasababu ya
• vacation (kufurahia muda wao hapa Arusha).
• kufanya kazi zakujitolea (volunteering)
• biashara
• kufanya project kwaajili ya mashirika binafsi/serikali.
• kuanza maisha mapya
• na mambo mengine mengi binafsi.
Sasa hapa unaona watu hawa wanahitaji taarifa kuwasaidia kupata apartment kuzingatia mahitaji yao.
Na niseme tu jambo zuri kuhusu apartment unaweza kupangisha kwa siku, wiki, mwezi au miaka.
Ni vile tu utakavyopendelea.
Hebu fikiria upo na partner wako Dar es Salaam na unafikiria kipindi hiki kuelekea December mnahitaji kutembelea sehemu na hiyo sehemu mmechagua ni Arusha.
Sasa unajiuliza nitapataje sehemu nzuri yakukaa labda one week.
Na kwasababu upo na partner wako unahitaji sehemu itakayowafanya mjisikie mpo nyumbani na si guest house au lodge ambapo energy yako inakuwa drained na mazingira yakisokifanya ujisikie yeah hapa nipo comfortable.
Lakini pia kama umefikia hapa Arusha kwaajili ya project ya serikali au shirika binafsi unaweza chagua option ya kurent apartment.
Unajua si kila siku utataka uende ukale nje, wakati mwingine unajisikia kuandaa chakula chako mwenyewe sasa ukiwa kwenye apartment you can do this.....unanunua mahitaji wako wakati unatoka town au unanunua mahitaji yako kwenye fruit stand jirani na apartment yako.
Unaona?
Kwa namna flani experience yako inakuwa tofauti.
You learn to take care of yourself.
Na hii ndiyo experience inayokosekana ukiwa lodge au guest house.
Next time ukifikiria kukaa A town kwa muda fulani iwe wiki moja, mwezi mmoja au miezi unaweza kuchagua option yakurent Apartment.
Binafsi naamini sehemu comfortable yakuishi ni muhimu sana.
Ina boost inspiration
Unajisikia kutaka zaidi na kifajiribu zaidi.
Sasa baada ya kusema hayo naomba niende kwenye mambo 10 yakuweka akilini ili ufanikiwe kupata apartment nzuri kwa kufuata haya mambo rahisi lakini wengi hawafahamu.
Sasa tuanze...
1 • Tatufa apartment yenye kujali usalama wa mpangaji.
- hii inaonekana kama too obvious lakini hebu tuangalie ndani zaidi.
- japo Arusha ni safe in general lakini baadhi ya apartment hazina usalama. And bad guys are taking advantage of this. Kitu cha msingi kabisa ukiongea na mmiliki wa apartment muulize je apartment yake inausalama?
- binafsi nilishawahi ibiwa binoculars, laptop na some shoes nilizoacha nje nikidhani everything is safe.
2 • Je, apartment inahuduma gani?
- hili ni swali zuri kuuliza. Kuna baadhi ya wamiliki wa apartment wanacharge pesa ndefu bila kutoa huduma za maana kwenye apartment zao. Wanatumia ukosefu wa taarifa wa wateja wao.
- hapa unaona umuhimu wakuwa na taarifa kabla haujafanya maamuzi yako.
- kwa kawaida apartment nzuri hapa Arusha inatakiwa iwe na huduma zifuatazo. Wi-Fi, TV iliyounganishwa na Dstv, Kitchen na vitu vyote vyakukuwezesha kuandaa chakula (lak huduma yakufuliwa nk.
3 • Location ya Apartments
- mbali na swala la usalama kitu kingine chakuzingatia ni location ya apartments. Nashauri tafuta apartment iliyokaribu na local amenities (supermarkets, gym, taxi)
- hizo sehemu ni muhimu kwasababu ukiwa umerent apartment utahitaji supermarket iliyokaribu, utahitaji usafiri, taxi au public transport. Kwahiyo muhimu kuzingatia hili.
4 • Landlord wasio Waaminifu
- yes ngoja hii niiweke namna hiyo. Baadhi ya landlord ni wasanini wasanii. Unaweza kuta WiFi haifanyi kazi. Ukimpigia simu kumueleza anaanza janja janja. Hii haikubaliki kwasababu you pay money you dont stay for free kwahiyo jaribu kufahamu je meneger ni janja janja au anajua kuheshimu makubaliano na mpangaji.
5 • Tafuta at least Apartments tatu (3) tofauti na ongea na Landlord kabla yakufanya decision.
- hii itakusaidia kufahamu tofauti kati ya huduma zitolewazo pia price za hizo apartment.
- yes sikuzote do your homework first. Hauhitaji kulipia pesa nyingi kupata mediocre services. Ukifanya utafiti siku zote utapata kilicho bora.
Baada ya kuelezea hayo mambo 5 muhimu kabisa sasa ninaweza nikakupa pendekezo wapi utapata apartment(s) nzuri kwaajili ya mahitaji yako kila mara unapokuwa Arusha.
Hizi apartments ninazoenda kukufahamisha zinaitwa RainBow Apartments.
Hizi apartments zipo Moshono Jeshini.
Zimetulia sana. Usalama ni mkubwa. Pia kuna huduma ya free WiFi, full Dstv package, wahudumu wakufanya usafi na garden ya kupumzika.
Nimeambatanisha picha na mawasiliano in case unataka tuwasiliane.
Pia unaweza tembelea website ili ujionee zaidi.
www.rainbow-apartments[.]net
Hapa JF hawaruhusu kuweka links kwahiyo unaweza kucopy hiyo address na kupaste google.
Number yakuwasiliana +255754204025
Kingine RainBow Apartments inatoa huduma ya kukodi gari (car hire) iwapo unahitaji.
Piga simu kupitia hiyo number na utahudumia vizuri iwapo unataka taarifa za kina.