Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Kwa kuwa mwanamama Theresia Dismas ndiye mtanzania wa kwanza kuiletea Tanzania medali ya Fedha kwa mchezo wa kurusha Mkuki mwaka 1965 kwenye mashindano ya All African Games yaliyofanyika Brazaville Kongo, ni wakati sasa;
Kanali Juma ikangaa, BMT na JICA kubadilisha jina la "Ladies First " na kuita Theresia Dismas Festivals ili kumuenzi mama huyo, kwa kuwa ndiye dhima kuu ya mashindano hayo.