Ushauri: Mashine za kuchimba visima, technical details.

Nenda kipawa vingunguti ofisi ya atlas coplo mtafute fund ambae ni mtaalamu wa mashine hizo atakupa details za kutosha kuhusu mashine hizo
 
Mkuu samahani nimeona bandiko lako ukiwa umeandika kuwa unataka kuagiza mashine ya kuchimbia kisima, sasa nilikuwa nataka nifahamu kama tayari ushaagiza maana mimi mwenyewe pia najishughulisha na shughuli hizo sasa nilikuwa nahitaji kama unayo mashine uweze kunikabidhi niweze kuisimamia mashine yako kama hutojali mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kumPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…