Ushauri - matokeo ya form 4

Ushauri - matokeo ya form 4

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
USHAURI
*****************
1-Kutokana na matokeo ya form 4 kuwa mabaya kuliko maelezo,ningependa kuwe na siku ya maombolezo na bendera ipandishwe robo mlingoti

2-Form wote waliofeli warudie mwaka kwa gharama za serikali.
 
Kila mtu anavuna alichopanda
Ukipanda mtama huwezi vuna mahindi
 
Kweli kuishi Tanzania kuona mengi
 
Back
Top Bottom