Ushauri: Matumizi ya bati gauge 28 vs gauge 30

Cof
Coffee red? Charcoal red? Ndiyo kwanza nazisoma duniani
 
Cof

Coffee red? Charcoal red? Ndiyo kwanza nazisoma duniani
Hizi rangu utazielewa mpaka ukiziona ni rangu tunazoona kika siku ila zi.efanyiwa modifications tu. Coffee red ni kama damu ya mzee, Brick red ina rangi ya tofali ya kuchuma....waweza kuita nyekundu. N.K
 
Majina ya rangi yaendane na picha,napenda green ila ulikoiweka sasa unanitisha
 
Mcheki hyu mtu afu utanipa mrejesho Yuko Tabata segerea kiwandani pale ni mtaalamu kweli kweli alinisaidia kwny hlo.
0764183844
Anaitwa Mr. Lupindu.
 
Ahsante kwa ufafanuzi
 
M
Binafsi changamoto yangu kubwa kwenye mabati ni upaukaji. Kwa maoni yako hapo ni kiwanda gani kinachotoa bati imara na ngumu kupauka.
Mkuu siwezi kusema ni kiwqnda fulani. Kwqni vyoye vinafata YBS standards na wanakagua kila mara. Mfano ubore umekuwa set grades 1-10. Hizi ni za TBS ikiwa namba ndogo ni bora zaidi utaona kuwa aliyenunua grade 1 ,2 na 4 anakuwa na bati bora zaidi kuliko mwenye grade 5 au 8. Lakini wote hakuna mwenye fake. Na bei zitakuwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…