Habari zenu wadau,
Nimeona niwashirikishe hili ndani ya wiki hii nzima takribani nimekumbwa na tatizo la miguu na leo imeanza bega kuuma sana.
Mpaka swala la movement linapungua.Kama kuna yeyote aliewahi kukumbwa na hili hebu tupeane ushauri kabla ya daktari.